Fomu ya maombi ya kujitolea

Tafadhali jaza fomu hii ya maombi kujiunga katika timu ya kujitolea ya The Islamic Foundation (TIF). Kabla haujaanza, tafadhali hakikisha una kitambulisho halali (leseni ya udereva au hati ya kusafiria au cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha uraia) pamoja na CV yako na tuma kwenda volunteer@islamicftz.org;

KUMBUKA, MAOMBI YASIYO NA KITAMBULISHO HAI HAYATAFANYIWA KAZI.
Kama unahitaji msaada tafadhali usisite kuwasiliana nasi kwa anuani iliyotajwa hapo juu.
Page 1 of 8
Powered By Timecounts